Psalms 142:7


7 aNifungue kutoka kifungo changu,
ili niweze kulisifu jina lako.

Ndipo wenye haki watanizunguka,
kwa sababu ya wema wako kwangu.
Copyright information for SwhKC